
Redd's Miss World Tanzania 2012,Lissa Jenson akiwa na bendera ya Taifa tayari kuelekea nchini China kwenye fainali ya Miss World.

Redd's Miss World Tanzania 2012,Lissa Jenson akipewa Mawaidha na Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ni waandaaji wa Miss Tanzania,Hashimu Lundenga kabla ya kuondoka kwenda nchini China kwa Fainali ya Miss World 2012 Itayofanyika July 28,2012 .
Redd's Miss World Tanzania 2012,Lissa Jenson akiwa na Mkurugenzi wa Lino Agency,Hashimu Lundenga na Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye.Fainali ya Dunia Itafanyika July28,2012 nchini China.
KWA HISANI YA MICHUZI BLOG
No comments:
Post a Comment