Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Taifa "Taifa stars" Peter Tino ambaye alikuwa mgeni rasmi akimkabidhi nahodha wa timu ya Taifa ya vijana waliochini ya miaka 17 Miraji Adam Seleman bendera ya taifa jana usiku tayari kwa safari ya kwenda Congo Braza ville kwenye hoteli ya Itumbi iliyoko Magomeni, jijini Dar es salaam
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Taifa "Taifa stars" Peter Tino akiwahusia wachezaji timu ya Taifa ya vijana waliochini ya miaka 17, jana usiku kabla ya safari ya kwenda Congo Braza ville kwenye hoteli ya Itumbi iliyoko Magomeni, jijini Dar es salaam
Nahodha Miraji Adam akitoa neno kwa niaba ya wachezaji wenzake
No comments:
Post a Comment