Sunday, May 5, 2013

KAPOTIVE STAR SINGERS - BUKOBA WAWASILI SALAMA JIJINI DAR ES SALAAM, TAYARI KWA KAZI MCHANA HUU UBUNGO PLAZA

Eneo la Hotel ya Ubungo Plaza kama linavyoonekana asubuhi hii ambako Uzinduzi huo utafanyikia
Ubungo Plaza
Wanakwaya kutoka Bukoba wakiwa njiani kuelekea Ubungo Plaza
Baada ya kufika Ubungo Plaza

Wakiingia ukumbini



Tayari kwa uzinduzi mchana huu
Sehemu ya Ukumbi huo
Kama kawaida kujibu email ni muhimu....

Ni uzinduzi wa album mbili, zenye mchanganyiko wa nyimbo za kihaya,ZIJULIKANAZO KAMA Vol: 1-YESU NI MWEMA na nyingine ni Vol: 5 -NAKUSHUKURU MUNGU.Ukipata tangazo hili USISITE KUMJULISHA MWINGINE.
Ni tarehe. 5/5/2013, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam.Katika uzinduzi huu watapambwa na waimbaji mahiri wa nyimbo za dini kama:-
Kwaya ya Mt. Kizito- Makubuli, Kwaya ya AIC Chang'ombe
Upendo Nkone, KAKAU Band toka Bukoba.
Emmanuel Mugaya "Masanja Mkandamizaji".

Kiingilio kitakuwa kama ifuatavyo:
Single size ticket (mtu mmoja) -15,000, Family size ticket (Watu 4) -50,000, Special seats (Watu 5) 100,000, Watoto 5,000 

WATU WOTE MNAKARIBISHWA TUMTUKUZE MUNGU KWA NYIMBO!! 
 Don't miss out, tell a friend to tell a friend!!!

No comments:

Post a Comment