Kipindi cha pili dakika ya 48 Daniel Sturridge anaiongezea Liverpoool bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Sunderland.
Dakika ya 76 Sunderland wanapata bao baada ya kupigwa kona na mabeki wa Liverpool kuukosa na kuangukia kwenye imaya ya mchezaji Ki Sung-Yueng aliyeingia kutoka benchi katika dakika ya 61 na kufunga bao hilo kwa kichwa.
Mpira umekwisha..
RATIBA/MATOKEO
Jumatano Machi 26
West Ham 2 v Hull City 1
Liverpool 2 v Sunderland 1
Jumamosi Machi 29
15:45 Man Utd v Aston Villa
18:00 Crystal Palace v Chelsea
18:00 Southampton v Newcastle
18:00 Stoke v Hull
18:00 Swansea v Norwich
18:00 West Brom v Cardiff
20:30 Arsenal v Man City
Jumapili Machi 30
15:30 Fulham v Everton
18:00 Liverpool v Tottenham
Jumatatu Machi 31
22:00 Sunderland v West Ham
No comments:
Post a Comment