Arsenal tayari wameshajihakikishia kucheza UEFA CHAMPIONS LIGI Msimu ujao baada ya Jana Everton, waliokuwa wakiwakimbiza kugombea Nafasi ya 4, kufungwa na Man City Bao 3-2.
Goli hilo la Giroud lilifungwa kwa Kichwa alipounganisha Kona ya Santi Cazorla.
West Brom bado hawana hakika kubakia Ligi Kuu England lakini ikiwa Leo Norwich City watafungwa na Chelsea basi wao watapona na Norwich kuungana na Cardiff na Fulham ambazo zilishushwa Daraja Jana.
Giroud akishangilia...
Meneja Pepe Mel akiwa amesimama kipindi cha kwanza kuwaangalia vijana wake wakisakata kabumbu!!
Mashabiki wa West Brom wakishangilia timu yao leo hii
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA/MATOKEO
Jumapili 4 Mei 2014
Arsenal 1 v West Brom 0
Chelsea 0 v Norwich 0
Jumatatu 5 Mei 2014
22:00 Crystal Palace v Liverpool
Jumanne 6 Mei 2014
21:45 Man United v Hull
Jumatano 7 Mei 2014
21:45 Man City v Aston Villa
21:45 Sunderland v West Brom
RATIBA/MATOKEO
Jumapili 4 Mei 2014
Arsenal 1 v West Brom 0
Chelsea 0 v Norwich 0
Jumatatu 5 Mei 2014
22:00 Crystal Palace v Liverpool
Jumanne 6 Mei 2014
21:45 Man United v Hull
Jumatano 7 Mei 2014
21:45 Man City v Aston Villa
21:45 Sunderland v West Brom
No comments:
Post a Comment