BUKOBA SPORTS

Sunday, May 11, 2014

LIVERPOOL 2 v NEWCASTLE 1

Wachezaji wa Liverpool wakijiandaa kuanza kiputeKocha wa Majogoo, Liverpool Brendan RodgersSuarez kwenye patashikaMartin Skirtel alijifunga bao la kwanza na kuwapatia zawadi ya bao Newcastle..Mpaka ndani ya nyavuLuis Suarez akishangaa!!Ilikuwa si lelemama mtanange huu!! Mashambulizi yalikuwa makali pamoja na Newcastle kutolewa nje wachezaji wake 2 kwa kadi nyekunduWachezaji wa Newcastle wakishangilia bao la kwanzaSuarez akishangilia bao baada ya kusawazisha na kufanta 1-1Danniel Sturidge akifanya 2-1
Bora leo...Sturridge akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi.

No comments:

Post a Comment