BUKOBA SPORTS

Saturday, May 3, 2014

TIMU YA FULHAM NA CARDIFF CITY ZAAGA LIGI KUU ENGLAND MAPEMA!!!

Sinking feeling: Fulham trio Mahamadou Diarra. left, Scott Parker, centre, and Brede Hangeland, right, react after Stoke's first goalStoke City wameichara Fulham Bao 4-1 na kuihakikishia Timu hiyo kushushwa Daraja toka Ligi Kuu England.
Bao za Stoke zilifungwa na Mnigeria Peter Odemwingie, Arnautović, Assaid na Walters na Bao la Fulhm kufungwa na Richardson.
Bao za Shola Ameobi, Loic Remy na Taylor zimewapa ushindi wa Bao 3-0 Newcastle walipoiwasha Cardiff City na kuishusha Daraja kutoka Ligi Kuu England. 
.

Meneja wa Cardiff City Ole Gunnar Solskjaer akipagawa baada ya timu yake kufungwa leo na kuondoshwa ligi kuu England

Cardiff City watashiriki Ligi ndogo ya Championship msimu ujao wa 2014/15

Fabio Hoi!!! Baada ya kipigo!!

Yale yale!! Wilfried Zaha kushuka kupo pale pale!!!

MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU ZA MKIANI:
17
Sunderland
36
9
8
19
38
57
-19
35
18
Norwich
36
8
8
20
28
60
-32
32
19
Fulham
37
9
4
24
38
83
-45
31
20
Cardiff 
37
7
9
21
31
72
-41
30

No comments:

Post a Comment