Kikosi cha timu ya Kmkm kinachoshiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Amaan, KMKM imefungwa bao moja na timu ya Azam.
Azam FC iliichapa KMKM Bao 1-0 katika Mechi ya Kundi B na kupata ushindi wao wa kwanza baada ya kutoka 2-2 na KCCA ya Uganda katika Mechi yao ya kwanza.

Kikosi cha timu ya AZAM kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi Zanzibar kilichoifunga timu ya KMKM bao 1-0, michuano inasyofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.

Wachezajhi wa timu ya KMKM na AZAM, wakiwania mpira katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi, uliofanyika katika uwanja wa Amaan.Timu ya AZAM imeshinda 1--0.

Mchezaji wa timu ya AZAM akiruka kwanja la beki wa timu ya KMKM, katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan.
Kipa wa timu ya KMKM Mundhiry Khamis, akiwa hewani akidaka mpira moja ya hatari golini kwake, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya AZAM, imeshinda 1-0.
Kikosi cha timu ya AZAM kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi Zanzibar kilichoifunga timu ya KMKM bao 1-0, michuano inasyofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezajhi wa timu ya KMKM na AZAM, wakiwania mpira katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi, uliofanyika katika uwanja wa Amaan.Timu ya AZAM imeshinda 1--0.
Mchezaji wa timu ya AZAM akiruka kwanja la beki wa timu ya KMKM, katika mchezo wa kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan.
No comments:
Post a Comment