
Tal Ben Haim akigombea mpira dhidi ya Mchezaji wa Wales

Chris Gunter akilazwa chini na Tal Ben Haim

Gareth Bale akishangilia baada ya kuipa bao la pili Wales

Gareth Bale tena akicheza mpira

Gareth Bale akionesh kiwango dhidi ya Omri Ben Harush wa Israel

Gareth Bale ni Hatari

Aaron Ramsey akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Wales nyuma ni Gareth Bale

Aaron Ramsey akishangilia bao lake

Tal Ben Haim akishikiliwa na Wachezaji wawili wa Wales

Hakuna kupita!! Ukuta!!

Mpaka dakika 90 zinamalizika Wales 3 Israel 0
No comments:
Post a Comment