BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 28, 2015

FULL TIME: HULL CITY 1 vs 0 LIVERPOOL, DAWSON AWATUNGUA LIVERPOOL KC STADIUM, BRENDAN RODGERS WASIWASI TENA KWAKE!


1-0
Hull leo wameiharibia Liverpool kupanda kuifukuzia Man United kwenye nafasi ya 4 Bora pale Michael Dawson alipowatungua bao 1-0 Liverpool. Ushindi huu ukiwaondolea wasiwasi Hull kwa kupanda hadi nafasi ya 15 na kupata pointi 34. Liverpool wao wamebaki pale pale nafasi ya 5 wakiwa na pointi 58.
Dawson dakika ya 37 anaipachikia bao la kuongoza Hull City kipindi cha kwanza dakika ya 37 dhidi ya Liverpool.Kipa Steve wa Hull Tigers akifurahia bao la DawsonRaheem akikatizwa kama amesimama!Mario akipeana mkono na Kocha wake wakati anaenda kupumzika baada ya nafasi yake kuchukuliwa Hatari tupu!Mario chini ya ulinzi mkaliRefa akiteta jambo na Kipa wa LiverpoolChupuchupu Liverpool wafungwe bao la pili!TaswiraMario kidogo afanye maajabu kwa Tom H.Patashika!!Mimi ndie mwamuziVIKOSI:
Hull City vs Liverpool
Hull:
Harper, Elmohamady, Chester, Dawson, McShane, Brady, Livermore, Huddlestone, Quinn, N'Doye, Aluko.
Akiba: McGregor, Rosenior, Figueroa, Bruce, Hernandez, Sagbo, Ramirez.

Liverpool: Mignolet, Can, Skrtel, Lovren, Johnson, Henderson, Allen, Coutinho, Sterling, Balotelli, Ibe.
Akiba: Jones, Toure, Lambert, Manquillo, Lallana, Brannagan, Markovic.
Refa: Lee Probert

No comments:

Post a Comment