BUKOBA SPORTS

Friday, May 1, 2015

PACQUIAO NDIYO HABARI YA UFILIPINO, MAYWEATHER UJIANDAE!

Ndege ya Kampuni ya Air Asia ikiwa na jina la pamoja na Picha ya Mwanamasumbwi bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ambaye jumamosi hii atapambana na bondia mwenzake wa Marekani Floyd Mayweather katika ukumbi wa MGM Grand, Marekani.

No comments:

Post a Comment