Bao za Armenia zilifungwa na Pizzelli na Mkoyan.
Nao Mabingwa wa Dunia Germany, wakicheza Ugenini kwenye Mechi ya Kundi D, waliitandika Gibraltar Bao 7-0 kwa Hetitriki ya Andre Schurrle, Bao 2 za Max Kruse, Gundogan na Bellarabi.
RATIBA/MATOKEO:
MECHI ZA MAKUNDI
Jumamosi Juni 13
Poland 4 vs Georgia 0 [Kundi D]
Armenia 2 vs Portugal 3 [Kundi I]
Finland 0 vs Hungary 1 [Kundi F]
Ireland 1 vs Scotland 1 [Kundi D]
Denmark 2 vs Serbia 0 [Kundi I]
Faroe Islands 2 vs Greece 1 [Kundi F]
Northern Ireland 0 vs Romania 0 [Kundi F]
Gibraltar 0 vs Germany 7 [Kundi D]
Jumapili Juni 14
(Saa 1 Usiku)
Slovenia vs England [Kundi E]
iechtenstein vs Moldova [Kundi G]
Estonia vs San Marino [Kundi E]
Russia vs Austria [Kundi G]
Ukraine vs Luxembourg [Kundi C]
[Saa 3 Dakika 45 Usiku]
Belarus vs Spain [Kundi C]
Sweden vs Montenegro [Kundi G]
Lithuania vs Switzerland [Kundi E]
Slovakia vs Macedonia [Kundi C]
No comments:
Post a Comment