Benzema akifurahia na PepePepe alifunga bao kwa kichwa hapa!Ronaldo akifanya yake mapema kipindi cha kwanzaSagna akipambana na RonaldoSergio Ramos Fabian Delph mpya wa CityTaswira kamili ya kiputeKarim Benzeme akipongezwa Isco na Yaya Marcelo akifanya yakeKikosi cha Real MadridRonaldo akishangilia bao lakeMtanange unaendelea kwenye Uwanja wa Melbourne Cricket Ground.
Manchester City wako 0 huku Real Madrid wakiongoza kwa bao 2-0 zikifungwa na Karim Benzema dakika 21 na Cristiano Ronaldo dakika ya 25 kipindi cha kwanza. Bao la 3 limefungwa na Pepe dakika ya 44 na mpira kwenda mapumziko zikiwa 3-1. Bao la Man City ni la dakika ya 45 kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Yaya Touré.
Bao la mwisho la nne la Real Madrid limefungwa na Denis Cheryshev dakika ya 73.
VIKOSI:
Manchester City XI: Hart, Sagna, Denayer, Humphreys, Kolarov, Toure, Fernando, Delph, Nasri, Silva, Sterling
Akiba: Caballero, Wright, Horsfield, Clichy, Evans, Zuculini, Garcia, Lopes, Navas, Pozo, Unal, Roberts, Iheanacho, Barker, Jovetic, Dzeko
Real Madrid XI: Navas, Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo, Kroos, Modric, Isco, Bale, Ronaldo, Benzema

No comments:
Post a Comment