BUKOBA SPORTS

Saturday, July 18, 2015

MAJOR LEAGUE SOCCER: LA GALAXY 5 vs 2 SAN JOSE EARTHQUAKES, STEVEN GERRARD AFUNGA BAO NA KEANE AKIPIGA HAT-TRICK!

Mtanange umechezewa StubHub Center, Los Angeles, United States  asubuhi hii
Bao za LA Galaxy  zimefungwa na
Robbie Keane 30 kwa mkwaju wa penati
Steven Gerrard 37'
Robbie Keane 64'
Robbie Keane 80' kwa mkwaju wa penati

Sebastian Lletget dakika ya 90+2Steven Gerrard akishangilia bao lake leo ambapo Timu yao imeibuka na Ushindi wa bao 5-2

Bao za San Jose Earthquakes zimefungwa na
Quincy Amarikwa 22' Quincy Amarikwa 25

No comments:

Post a Comment