Sanchez akimchomoka difenda Michael Keane 
Meneja wa Everton Ronald Koeman akitoa maelezo kwa mdomo leo wakati wa mechi kati yao na Timu inayoongozwa na Meneja Arsene Wenger Arsenal.

Rooney akifanya yake leo

Rooney akishangilia bao lake

Arsenak katika mchezo wa leo wametengeneza nafasi nyingi

Arsene Wenger akishangaa wakati wa mchezo wao leo kipindi cha pili

Nacho Monreal akitupia

Monreal akipongezwa na Xhaka.
No comments:
Post a Comment