FULL TIME: TOTTENHAM HOTSPUR 4-1 LIVERPOOL, HARRY KANE AWAPA USHINDI SPURS
Harry Kane akishangilia moja ya bao lake leo Timu yake ya Tottenham ilipoinyuka Liverpool bao 4-1 na kumfanya Meneja wao Mauricio Pochettino afurahie ushindi huo wa 4-1 kwenye uwanja wa Wembley. Son Heung-min akimpongeza Staa Kane alipongunga bao ndani ya dakika 12. Nahodha wa Liverpool Jordan Henderson akifoka foka kwa Joel Matip (kulia) huku Dejan Lovren akiangalia tuu.
No comments:
Post a Comment