BUKOBA SPORTS

Thursday, April 5, 2012

WACHEZAJI WA SIMBA WAKIPATA BREAKFAST ALGERIA ASUBUHI

Kocha mkuu wa Simba Milovan Cirkovic akipata chai baada ya mazoezi leo asubuhi.


Mwinyi Kazimoto akiwa mchezaji mwenzie wakipata kifungua kinywa baada ya kutoka mazoezini.

Mario Balotelli aka Haruna Moshi Boban akitoka kuchukua breakfast yake asubuhi ya leo.

Misosi ya wachezaji a Simba

Kelvin Yondan akiwaongoza wenzake kuchukua chakula baada ya kutoka mazoezini.

No comments:

Post a Comment