BUKOBA SPORTS

Tuesday, January 29, 2013

UMOJA WA WATUMA SALAMU KAGERA WALIVYOUAGA MWAKA 2012 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2013 KATIKA HOTEL YA NEW COFFEE TREE YA MJINI BUKOBA.

Bw.Abdu Kagasheki mgeni rasmi

Mdau na Mgeni wa Wanasalamu Kagera Bw. Muganyizi ambaye ni Mkurugenzi wa ZIT
Dj Slay akimrekodi mgeni rasmi Bw. Abdu Kagasheki
Wadau Watuma Salamu
Mwenyekiti wa Wanaumoja wa Watuma salamu Kagera akisalimia Wanasalamu waliowasili ukumbini hapo New Coffee TreeHotel
Anaitwa Ras Parachichi na hapa ndiye aliyeshikilia gitaa kuwapa Wanaumoja wa Watuma Salamu Kagera Kitu roho inapenda.
Shamira Bashir Mtangazaji wa vipindi vya Taarab Radio Kasibante Fm 88.5 ya mjini Bukoba akizungumza na kuwakaribisha wanaumoja wa watuma salamu katika ukumbi wa New Coffee Tree hotel ya hapa mjini Bukoba
Bw. Abdu Kagasheki akiendelea kupachikiwa msosi


Karibu na wewe...




Saa ya Msosi

kulia ni Teso Boy (Mwenyekiti wa Umoja wa Watuma salamu Kagera akiwa anapata msosi meza kuu)

Dj Slay Johashi Mzee wa The score Kasibante FM kushoto akiendelea kupata msosi na wanasalamu













Shamira kushoto akiendelea kusakata muziki pamaja na wadau wa U

muziki aina ya Zilipendwa
Mziki ukiendelea

No comments:

Post a Comment