BUKOBA SPORTS

Friday, May 11, 2012

TWIGA STARS ILIPOKUTANA NA MKUU WA MKOA WA DODOMA!

                   Baadhi ya wachezaji wa Twiga stars wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa (Hayupo Pichani).
                   Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na Twiga Stars.

                      Picha ya pamoja uongozi wa Mkoa wa Dodoma, DOREFA na Twiga Stars.
   Mwalimu Bonifasi Mkwasa akizungumza kwa niaba ya Timu katika Hoteli ya Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (aliyevaa miwani) na viongozi wengine wa Mkoa na Kiongozi wa DOREFA wakiwapongeza Twiga Stars kwa makofi.

No comments:

Post a Comment