Tarehe ya leo Oktoba 7 ni siku aliyozaliwa Mwigizaji wetu ROSE NDAUKA . BUKOBASPORTS.COM inaungana na maelfu ya wananchi wa Tanzania na Dunia nzima waliomtakia maisha mema na wanaoendelea kumpongeza kwa siku hii. Sisi Bukobasports tunamtakia maisha marefu na ya afya njema na Mungu amjalie ili aweze kufanya kazi zake vema.
Leo ni siku ya kuzaliwa msanii maarufu kunako tasnia ya filamu nchini Tanzania bibie ROSE NDAUKA kwa kutimiza miaka 23..!!! BUKOBASPORTS na wapambe wake wote ina mtakia A HAPPY BIRTHDAY..... have a blast mdada
Rose Ndauka akitupia jicho kwenye kamera ya bukobasports usiku huu.
Furaha ilizidi kupitiliza na wengine wakaamua kupiga makofi na huku wakisimama
Saa ya Misosi ikafika...
Namuona Mr.Jamco Kulia hapa akiendelea kujisevia katikati na Mzee Magari
Mambo ya Regina kutokelezea imeisha kuwa kawaida yake
Mhh....
kulia ni Mr. Kelvin akipata chakula
misosi ikiendelea kukandamizwa..
Msosi mtamu we acha tuu..
Mzee magari kulia akiteta jambo na Rose Ndauka usiku huu kwenye meza ya msosi
Baada ya kumaliza ishu nzima kila mtu akapata kupumua.
No comments:
Post a Comment