BUKOBA SPORTS

Monday, January 28, 2013

FA CUP: LEEDS UNITED 2 vs TOTTENHAM HOTSPUR 1, OLDHAM ATHLETIC 3 vs LIVERPOOL 2, BRENTFORD 2 vs CHELSEA 2


Tottenham imebanduliwa nje ya mashindano ya kuwania kombe la FA baada ya kulazwa magoli mawili kwa moja na Leeds United. Luke Varney aliifungia Leeds bao lake la kwanza kabla ya Ross McCormack, kufunga la pili. Tottenham ambayo inashiriki katika ligi kuu ya Premier nayo ikapata bao lake kupitia kwa mchezaji wake Clint Dempsey.

Luke Varneyakimfunga goli la kufungulia kipa Brad Friedel wa Tottenham

Ross McCormack akimfunga kipa wa Spurs Friedel
McCormack akishangilia mara baada ya kutupia na kujiakikishia ushindi dhidi ya Spurs

Kipa Friedel akishindwa kuamini ....Mashabiki wa Leeds wakiendelea kushangilia leo kwenye FA

Bale akitoka kifua wazi Elland Road baada ya Tottenham kufungwa na timu hiyo ndogo leo usiku.
VIKOSI:
Leeds: Ashdown, Byram, Lees, Peltier, White, Green, Austin, Brown, Varney, Diouf (Pearce 90), McCormack (Somma 90).
Subs not used: Kenny, Tonge, Norris, Hall, Dawson.
Goals: Varney 15, McCormack 50.
Booked: Diouf, Brown.
Tottenham: Friedel, Naughton, Caulker, Vertonghen, Assou-Ekotto (Walker 66), Huddlestone (Dembele 59), Lennon, Parker, Sigurdsson (Obika 59), Bale, Dempsey.
Subs not used: Gomes, Dawson, Livermore, Townsend.
Goals: Dempsey 58.
Booked: Vertonghen, Assou-Ekotto.

Att: 29,943.
Referee: Kevin Friend



 BRENTFORD 2 vs CHELSEA 2
Katika mechi nyingine Chelsea, nusura iage mashindano hayo baada ya kulemewa na Brentford.
Hata hivyo Fernando Torres aliifungia Chelsea bao lake la pili na kuiepushia aibu kubwa
Timu hizo mbili zilitoka sare ya kufungana magoli mawili kwa mawili.Mob rule: Brentford celebrate their shock goal against Chelsea in the FA Cup
Mob rule: Brentford celebrate their shock goal against Chelsea in the FA Cup
Game on: Oscar (centre) celebrates after drawing Chelsea level against Brentford at Griffin Park
Game on: Oscar (centre) celebrates after drawing Chelsea level against Brentford at Griffin Park
Spot kick: Tom Adeyemi is fouled by Ross Turnbull to earn Brentford a penalty which Harry Forrester scored
Spot kick: Tom Adeyemi is fouled by Ross Turnbull to earn Brentford a penalty which Harry Forrester scored
No mistake: Forrester scores from the spot to restore Brentford's lead at Griffin Park
No mistake: Forrester scores from the spot to restore Brentford's lead at Griffin Park
Off the hook: Fernando Torres sweeps the ball home for Chelsea's leveller before equalising (below)
Off the hook: Fernando Torres sweeps the ball home for Chelsea's leveller before equalising (below)
Chelsea's Fernando Torres (centre) celebrates scoring his teams second goal
VIKOSI:
Brentford: Moore, Hodson, Craig, Dean, Logan, Forshaw (Saunders 84), Douglas, Diagouraga, Donaldson, Trotta (Adeyemi 70), Forrester (Barron 80).
Subs not used: Lee, Dallas, Reeves, Hayes.
Goals: Trotta 43, Forrester pen 73.
Chelsea: Turnbull, Ivanovic (Azpilicueta 79), Cahill, Terry, Cole, Ramires, Lampard, Marin (Mata 46), Oscar, Bertrand (Ba 82), Torres.
Subs not used: Hilario, Mata, Ferreira, Benayoun, Ake.
Goals: Oscar 55, Torres 83.
Booked: Cahill
Referee: Jon Moss

OLDHAM ATHLETIC 3 vs LIVERPOOL 2
Do you believe? Oldham stunned Liverpool on a day of upsets in the FA Cup
Liverpool vile vile, imeondolewa kwenye michuano hiyo ya FA, baada ya kunyukwa magoli 3-2 na Oldham, ambayo inashiriki katika ligi daraja ya kwanza.Ecstatic Oldham players celebrate in the dressing room
Timu zingine za ligi kuu ambazo zimefuzu kwa raundi ijayo ni pamoja na Manchester United, Everton, Arsenal, Wigan, reading na Manchester City.
Oldham's Cliff Byrne (centre) celebrates with Matt Smith (left) in the dressing room after the match
Norwich, QPR na stoke city zinaungana na timu ambazo zimefunganya virago vyao katika michuano hiyo ya FA.

MATOKEO YOTE YA FA CUP
RAUNDI YA 4

Ijumaa Januari 25
Millwall 2 Aston Villa 1

Jumamosi Januari 26
Stoke City 0 Manchester City 1
Norwich City 0 Luton Town 1
Macclesfield Town 0 Wigan Athletic 1
Derby County 0 Blackburn Rovers 3
Hull City 0 Barnsley 1
Middlesbrough 2 Aldershot Town 1
Brighton & Hove Albion 2 Arsenal 3
Reading 4 Sheffield United 0
Huddersfield Town 1 Leicester 1
QPR 2 MK Dons 4
Bolton 1 Everton 2
Manchester United 4 Fulham 1

Jumapili Januari 27
Brentford 2 Chelsea 2
Leeds United 2 Tottenham Hotspur 1
Oldham 3 Liverpool 2
DROO YA RAUNDI YA 5
MECHI HIZO ZITACHEZWA JUMAMOSI FEBRUARI 16 NA JUMAPILI FEBRUARI 17.
Huddersfield/Leicester v Wigan
MK Dons v Barnsley
Oldham Athletic v Everton
Luton Town v Millwall
Arsenal v Blackburn Rovers
Manchester City v Leeds United
Manchester United v Reading
Middlesbrough v Brentford/Chelsea 

No comments:

Post a Comment