RAIS MSTAAFU BENJAMIN W. MKAPA AUDHULIA SHEREHE YA KUMSIMIKA MHASHAMU DESIDERIUS RWOMA, ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA JUMAPILI TAREHE 07.04.2013
Askofu Nestory Timanywa anayestaafu uaskofu wa jimbo hilo baada ya kutimiza umri wa miaka 75 kwa mujibu wa sheria za kanisa (katikati) kulia ni Mha. Desiderius Rwoma kutoka Singida wakati wa zoezi la kukata keki. www.bukobasports.com inakupongeza sana na inakukaribisha nyumbani Bukoba. Askofu Nestory Timanywa anayestaafu uaskofu wa jimbo hilo na Mha. Desiderius Rwoma (kulia) wakijiandaa kwa zoezi hilo safi la kukata keki Mha. Desiderius Rwoma...Karibu baba yetu mpendwa, keki safi ...na yenye ujumbe Meza kuu ya viongozi mbalimbali wa dini Shambain nayo ilifunguliwa kwenye sherehe hiyo kubwa ya kumkaribisha Mha. Desiderius Rwoma kwenye jimbo lake jipya la Bukoba baada ya Askofu Nestory Timanywa kustaafu uaskofu wa jimbo hilo Viongozi wakipita meza kuu kugongesha glasi ishara ya upendo ..angalia picha hii kiongozi huyu alikuja na chupa ya maji ...raha raha hakika sherehe ni sherehe RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa na Mha. Desiderius Rwoma (kulia) Mzee Tibe (kushoto) naye alikuwepo katika sherehe hizo Msosi na kinywaji hapa... Zoezi la misosi likiendelea.. Mr. Matungwa (Video Shooter) akiwa amekamatilia .... Mr. Johnson(kushoto) akiwa na mdau
No comments:
Post a Comment