BUKOBA SPORTS

Monday, April 8, 2013

SHEREHE YA KUMSIMIKA RASMI MHA. DESIDERIUS RWOMA, ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA TAREHE 07.04.2013


Picha ya Pamoja ya Viongozi mbalimbali wa kikatoliki, Mgeni rasmi alikuwa Mh. Rais mstaafu wa awamu ya tatu  Benjamin W. Mkapa
Picha ya pamoja

Kushoto ni MHA. DESIDERIUS RWOMA, ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA katikati ni Mh. Benjamin W. Mkapa
Mh. Benjamin W. Mkapa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa dini leo kwenye kanisa kuu la jimbo la Bukoba wakati wa kumsimika kiongozi mpya Mha. Desiderius Rwoma kutoka Singida

Mh. Benjamin W. Mkapa akisalimiana na viongozi mbalimbali
Mha. Desiderius Rwoma
Viongozi mbalimbali katika sherehe hiyo ya kusimika Mha. Desiderius Rwoma iliyofana leo jumapili.
Picha nyingine ya pamoja






Kapotive Star Singers wakiendelea kutumbuiza nyimbo mbalimbali za dini kanisani hapo leo mchana


Kapotive Star Singers wakiwasha moto

Kapotive Star Singers wakicheza nyimbo mbalimbali wakimkaribisha kiongozi mpya Mha. Desiderius Rwoma kutoka Singida kukaribia nyumbani Bukoba



Waumini walijitokeza kwa wingi kumuunga mkono kiongozi mpya Mha. Desiderius Rwoma kutoka Singida

















No comments:

Post a Comment