BUKOBA SPORTS

Tuesday, April 10, 2012

CHEGE AFANYA SHOW YA NGUVU AMSTERDAM HOLLAND

Mwanadada aliyekuwa amenogewa na makorombwezo ya Tmk alishindwa kabisa kujizuia na kujimwayamwaya na Chege kama unavyomuona.
Chege chigunda akiendelea libeneke la makamuzi stejini,huku mashabiki wake wakiwa sambamba na nyimbo au mistari
Msanii wa kike toka Uganda kwa jina anaitwa Jackie Chambiru aliripua ukumbi kwa mayowe kwenye show yake iliyopendeza kabisa
Ndugu yangu Kamanda Kessy kushoto alikuwa na rafiki yake ambaye anaupenda sana mziki wa Bongo Fleva alikuwa ni kujimwayamwaya tu ndani ya show ya Chege.
Na huyu ni msanii mwengine wa Uganda ambaye alipendezesha sana show na kushangiliwa na umati uliofika kwenye show hiyo hapo jana.

Wakaanga mambo ya muziki wakibadilishana mawazo jinsi gani ya kuufurahisha ukumbi
Bishoo wangu wa Holland kijana Yusuf nae pia alikuwepo mjengoni kumshuhudia kijana Chege
Msanii mwingine toka Ug ambaye alitumbuiza kwa staili kemkem zilizowachengua washabiki.
Haji Mrisho msanii kutoka Uganda alikonga nyoyo za mashabiki ukumbini pale kwa nyimbo zake alizokuwa akiimba,kwa kweli show nyingi ziliburudisha watu ukumbini pale.

Msanii toka Tanzania Chege Chigunda toka Tmk akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika ukumbini.
Mpango mzima ulikwenda kama unavyojionea,yani ni full mzukaa Chege aliwakonga mashabiki kiukweli
Mkono mmoja weka juu kila mmoja aliiimba kama jinsi Chege anataka aimbe basi ilikuwa ni balaaaa...!!!
King James mwenye koti jeusi akiusikilizia muziki wa Chege na nyuma yake brother Mnyenga akitabasamu kwa furaha.
 Yaani ni Full Mzuka.....!!!
Kwa kudhihirisha kuwa bongo fleva ni mziki unaotambulika duniani na Chege ni kipenzi cha watu kila taifa lilikuja kumshuhudia kijana Chege.
Kutoka kushoto ni Bidada mama Kiza,King James na mke wa King James(Mrs James)
Black is Always Beauty.....hawa ni madada waliofika kwenye show ya Chege

Waaaawwwooo!!! ni Brandina Kulia akiwa na mashoga zake waliopendeza vyema kwenye show ya kijana Chege.
Wanaume wakiwa na mwanaume Chege

Aisee Chege anapendwa na wengi maana kila mmoja alipenda kumpa sapoti na hii kwa kweli niliipenda sana ukumbini hapo.

Watu walipendeza sana ukumbini na hata ukipiga picha unapenda kuiangalia
Brother Nyembo na mkewe kipenzi walipata kumbukumbu ukumbini hapo...Nice Picture!!
Aaaah bwana mdogo Yusuf akiwa na bi mdogo .............hapo yani mambo dushelele..!!
Raha  ya picha ni pale kuona watu wamependeza kama hivii,show ya Chege ilijaza watu wengi na kila mmoja alikuwa amependeza kisawasawa
Mashosti wa nchi mbalimbali walikuwa wameketi wakiangalia show ya kijana toka tmk Chege Chigunda mtoto wa mama Said.
Nani hasiyemjua King James? hapo King James akiwa na Chege kabla ya kuanza kwa show
Mke wa James kushoto akiwa na shoga yake kipenzi  wakipata mambo fulani ya Flash

Wakati Chege anakamua vilivyo jukwaani kuna walioshindwa kujizuia na kupanda kwenye stage na kujumuika katika kukata mapanga ya Tmk,pichani bidada akiwa na chege kwa makamuzi
Ukiachilia mbali ya show ya Chege,kuna show kibaooo za utangulizi ziliburudisha watu.
Nyuma ya pazia mambo yalikuwa hiviiiiiii,hapo ni mimi na Chege tukihojiana yani ilikuwa full kucheka.

No comments:

Post a Comment