Monday, July 2, 2012

LIGI KUU ENGLAND: USAJILI NA UHAMISHO MPAKA SASA!

Ifuatayo ni Listi ya Klabu zote 20 za Ligi Kuu England ikionyesha Wachezaji gani wameingia na nani wametoka hadi leo hii.
FAHAMU
-Listi hii itakuwa ikirekebishwa mara kwa mara kufuatana na Klabu zinavyopata na kuwatoa Wachezaji wao.
-AMEACHWA=Hii inamaanisha Mkataba umekwisha ama Klabu imemtema
-BURE=Amehama bila Ada yeyote.
ARSENAL 
 NDANI: Olivier Giroud (Montpellier, £13m), Lukas Podoloski (Cologne, £11m)
NJE: Manuel Almunia (Ameachwa), Gavin Hoyte (Ameachwa)
ASTON VILLA 
NDANI: Brett Holman (AZ Alkmaar, Bure)
NJE: Emile Heskey (Ameachwa), Carlos Cuellar (Ameachwa), Brad Guzan (Ameachwa)
CHELSEA 
NDANI: Marko Marin (Werder Bremen, £7m), Eden Hazard (Lille, £32m)
NJE: Didier Drogba (Shanghai Shenhua, Bure), Salomon Kalou (Ameachwa), Jose Bosingwa (Ameachwa)
EVERTON

NDANI: Hamna
NJE: Adam Forshaw (Brentford, Ada haikutajwa), James McFadden (Ameachwa), Marcus Hahnemann (Ameachwa), James Wallace (Tranmere, Ada haikutajwa)
FULHAM
NDANI: Mladen Petric (Hamburg, Bure), George Williams (MK Dons, Bure)
NJE: Andrew Johnson (QPR, Bure), Danny Murphy (Blackburn, Bure), Bjorn Helge Riise (Ameachwa)
LIVERPOOL
NDANI: Hamna
NJE: Dirk Kuyt (Fenerbache, £1m), Fabio Aurelio (Gremio, Bure), David Amoo (Preston North End, Bure), Stephen Darby (Ameachwa)
MANCHESTER CITY
NDANI: Hamna
NJE: Owen Hargreaves (Ameachwa), Gunnar Nielsen (Ameachwa), Stuart Taylor (Ameachwa),
MANCHESTER UNITED 
NDANI: Nick Powell (Crewe, £4m), Shinji Kagawa (Dortmund, £17m)
NJE: Tomasz Kuszczak (Ameachwa), Michael Owen Ameachwa), Richie De Laet (Leicester, Ada haikutajwa), Matty James (Leicester, Ada haikutajwa)
NEWCASTLE
NDANI: Romain Amalfitano (Reims, Ada haikutajwa)
NJE: Philip Airey (Ameachwa), Ryan Donaldson (Ameachwa), Danny Guthrie (Ameachwa), Tamas Kadar (Ameachwa), Peter Lovenkrands (Ameachwa), Alan Smith (Ameachwa),
NORWICH
NDANI: Stephen Whittaker (Rangers, Bure)
NJE: Zak Whitbread (Ameachwa), Aaron Wilbraham (Ameachwa), Josh Dawkin (Ameachwa) Adam Drury (Leeds)
QUEENS PARK RANGERS
NDANI: Ryan Nelsen (Tottenham, Bure), Andy Johnson (Fulham, Bure), Robert Green (West Ham, Bure), Samba Diakite (Nancy, Ada haikutajwa)
NJE: Peter Ramage (Ameachwa), Danny Gabbidon (Ameachwa), Danny Shittu (Ameachwa), Fitz Hall (Ameachwa), Gary Borrowdale (Ameachwa), Lee Cook (Ameachwa), Rowan Vine (Ameachwa), Patrick Agyemang (Ameachwa), Akos Buzsaky (Ameachwa)
READING
NDANI: Garath McCleary (Nottingham Forest, Bure)
NJE: Brian Howard (Ameachwa), Tomasz Cywka (Ameachwa), Andy Griffin (Ameachwa), Jack Mills (Ameachwa)
SOUTHAMPTON
NDANI: Jay Rodriguez (Burnley, £6m)
NJE: Radhi Jaidi (Amestaafu), David Connolly (Ameachwa), Bartosz Bialkowski (Ameachwa), Lee Holmes (Ameachwa), Ryan Doble (Ameachwa), Aaron Martin (Crystal Palace, Mkopo)
STOKE
NDANI: Hamna
NJE: Andrew Davies (Bradford, Bure), Salif Diao (Ameachwa), Ricardo Fuller (Ameachwa), Louis Moult (Ameachwa), Tom Soares (Ameachwa)
SUNDERLAND
NDANI: Hamna
NJE: Craig Gordon (Ameachwa), Jordan Cook (Ameachwa), George McCartney (West Ham, Ada haikutajwa)
SWANSEA
NDANI: Hamna
NJE: Ferrie Bodde (Ameachwa), Casey Thomas (Ameachwa), Joe Walsh (Ameachwa),
TOTTENHAM
NDANI: Hamna
NJE: Niko Kranjcar (Dynamo Kiev, £2m), Ryan Nelsen (QPR, Bure), Louis Saha (Ameachwa), Vedran Corluka (Locomotiv Moscow, £5m)
WEST BROMWICH
NDANI: Ben Forster (Birmingham, Ada haikutajwa)
NJE: Nicky Shorey (Ameachwa), Joe Mattock (Ameachwa), Somen Tchoyi (Ameachwa),
WEST HAM
NDANI: Stephen Henderson (Portsmouth, Ada haikutajwa), Jussi Jaaskelainen (Bolton, Bure), Mohamed Diame (Wigan,Bure), George McCartney (West Ham, Ada haikutajwa)
NJE: Julien Faubert (Ameachwa), John Carew (Ameachwa), Abdoulaye Faye (Ameachwa), Papa Bouba Diop (Ameachwa), Frank Nouble (Ameachwa), Robert Green (QPR, Bure)
WIGAN
NDANI: Hamna
NJE: Chris Kirkland (Sheffield Wednesday, Bure), Mohamed Diame (West Ham,Bure)

No comments:

Post a Comment