Timu hizi zilikuwa Sare 1-1 baada ya Dakika 90 na zikaongezwa Dakika za Nyongeza 30 na Matokeo yakabaki hay ohayo na ndipo Penati Tano Tano zikapigwa na Real kuibuka kidedea.
Bao la Real lilifungwa Dakika ya 15 na Atletico kukosa nafasi ya kusawazisha katika Dakika ya 48 baada ya Antoine Griezmann kukosa Penati lakini Dakika ya 79 Yannick Carrasco, alietokea Benchi akasawazisha.
Kwenye Mikwaju ya Penati Tano Tano, Cristiano Ronaldo ndie alieifungia Real Penati ya ushindi baada ya Juanfran kukosa Penati ya Atletico. Kabla, Lucas Vazquez, Marcelo na Gareth Bale waliifungia Real, huku Atletico wakifunga kupitia Griezmann, Gabi na Saul Niguez na Penati kuwa 3-3.
Hii ni mara ya 11 kwa Real Madrid kutwaa Kombe la Ulaya na safari hii wametwaa chini ya Kocha Mkuu Lejendari Zinedine Zidane.
Real Madrid XI : Navas; Carvajal, Ramos, Pepe, Marcelo; Casemiro, Kroos, Modric; Bale, Ronaldo, Benzema
Akiba: Casilla, Nacho, James, Vazquez, Jese, Isco, Danilo
Atletico Madrid XI: Oblak; Juanfran, Savic, Godin, Filipe Luis; Saul, Gabi, Fernandez, Koke; Griezmann, Torres
Galatasaray 0-2 Atletico (group stage)
Atletico 1-2 Benfica (group stage)
Atletico 4-0 Astana (group stage)
Astana 0-0 Atletico (group stage)
Atletico 2-0 Galatasaray (group stage)
Benfica 1-2 Atletico (group stage)
PSV 0-0 Atletico (last 16)
Atletico 0-0 PSV - 8-7 pens (last 16)
Barcelona 2-1 Atletico (quarter-final)
Atletico 2-0 Barcelona (quarter-final)
Atletico 1-0 Bayern Munich (semi-final)
Bayern Munich 2-1 Atletico (semi-final)
SAFARI YA REAL MADRID KUELEKEA HAPA FAINALI:
Real Madrid 4-0 Shakhtar (group stage)
Malmo 0-2 Real Madrid (group stage)
PSG 0-0 Real Madrid (group stage)
Real Madrid 1-0 PSG (group stage)
Shakhtar 3-4 Real Madrid (group stage)
Real Madrid 8-0 Malmo (group stage)
Roma 0-2 Real Madrid (last 16)
Real Madrid 2-0 Roma (last 16)
Wolfsburg 2-0 Real Madrid (quarter-final)
Real Madrid 3-0 Wolfsburg (quarter-final)
Manchester City 0-0 Real Madrid (semi-final)
Real Madrid 1-0 Manchester City (semi-final)
No comments:
Post a Comment