Bao la Man United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic kipindi cha kwanza dakika ya 36. kwa mara ya kwanza katika Mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu England, EPL na kuifunga Southampton 2-0 kwa Bao za Ibrahimovic na kubakia kileleni mwa Ligi.
Ibrahomivic alifunga Bao hizo kila Kipindi na la kwanza kwa Kichwa alipounganisha Krosi ya Wayne Rooney na la Pili kwa Penati baada ya Luke Shaw kuchezewa Faulo.
Bao hizo zilifungwa Dakika za 36 na 52 mbele ya Watazamaji 75,326.
Mechi inayofuata kwa Man United ni Jumamosi Agosti 27 Ugenini na Hull City.
Manchester United: De Gea, Bailly, Shaw, Pogba, Mata, Blind, Valencia, Fellaini, İbrahimovic
Southampton: Forster; Cedric, Fonte, Van Dijk, Targett; Hojbjerg, Romeu, Davis; Long, Tadic, Redmond
No comments:
Post a Comment