DEUS VALENCE NA JENIFER MARCO WAFUNGA PINGU ZA MAISHA LEO BUKOBA.
Ndoa imefungwa leo hii Ijumaa 15 /07/2016 saa 9 Alasiri katika Kanisa Katoliki (Cathedral) Bukoba Mjini. Sherehe ya kuwapongeza imefanyika katika Ukumbi wa Lina's Night Club uliopo Bukoba Mjini. Wakiingia Ndani ya Kanisa Mr & Mrs Deus wakiwa Kanisani wakati wa Kufunga Ndoa yao hii leo Misa ikiendelea.. Fr. Faustine Kamuhabwa(Baba Paroko) wa Kanisa la Cathedraw Bukoba akiendesha Misa Tayari kwa kufunga Pingu za Maisha na Kuwa kitu kimoja Baba Paroko Fr. Faustine Kamuhabwa akiendelea kutoa taratibu wakati wa Misa ya kuwafungisha pingu za Maisha Bwana Deus na Jenifer Marco kutoka kwenye Familia ya Bw. na Bibi Valence Kashumba wa Bujugo - Bukoba.
Mama Mzazi wa bi Harusi(kulia) akiwa na Mwanae leo hii wakipata picha ya Pamoja wakati wa kufunga Pingu za Maisha Manae Bi. Harusi akiwa na Mama Furaha ikalipuka! Staili ya aina yake Mr Deus akiwa na mkewe Bi Jenifa Kwenye Maisha ya Pamoja Furaha ni kitu muhimu Maisha ni Safari Ndefu sana kuna Milima na Mabonde Wakiambiana Neno la Maisha Maharusi wakitazama Taswira mbalimbali leo hii kwenye Ufukwe wa Ziwa Victoria. Bw. Boniface(kulia) akiwa na Bwana Harusi Deusdedit Valence
No comments:
Post a Comment