BUKOBA SPORTS

Saturday, November 15, 2014

MDAU LEONARD WILSON M. SIMBA ALA NONDOZ - BACHELOR OF MEDICAL LABORATORY SCIENCES JIJINI MWANZA.

Mr. Leonard Wilson Mawenya akiwa katika hali ya furaha baada ya  kutunukiwa Shahada ya Sayansi ya Ufundi Maabara ya Tiba. (Bachelor of Medical Laboratory Sciences) Katika Chuo Kikuu Katoliki Bugando leo Jumamosi  Tarehe 15/11/2014.

Mdau Simba akiwa na Familia yake Jijini Mwanza baada kutunukiwa Shahada ya Sayansi ya Ufundi Maabara ya Tiba. (Bachelor of Medical Laboratory Sciences) Katika Chuo Kikuu Katoliki Bugando leo Jumamosi Tarehe 15/11/2014. Hongera sana Mr. Leonard Wilson Mawenya a.k.a Simba

Kwenye picha ya pamoja 

No comments:

Post a Comment