Redds Miss Mara 2012, Aisha Bakari (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili Eugenia Fabiano (kushoto) na mrembo aliyeshika nafasi ya tatu Jacqueline Mzava. Shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki Musoma Club.


Upande wa Burudani ilipambwa na Professor J, Sharo Millionea na Dancer Bokilo toka T.O.T. Ambapo washindi ni 1. Aisha Bakari. 2. Eugenia Fabiano, 3. Jacqueline Mzava. wengine ni waliobahatika kuingia Top 5 ni 4. Lona Kilasila na 5. Namcy Mnubi.
Shindano hili lilidhaminiwa kwa Kiwango kikubwa na African Barrick Gold Mine Ltd pamoja Tbl ambao ni Wadhamini wakuu wa Miss Tanzania, Wadhamini wengine ni Musoma Club, Hotel Maltivilla, Mara Security Guard, Musoma Utalii Collage, Msendo Min Supermarket na Crdb.
No comments:
Post a Comment