Kitendo kibaya cha Bobby Zamora kurusha teke kwa mchezaji wa Wigan Jordi Gomez hiki ndicho kilichotoa nje kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya 21 kipindi cha kwanza na kusababisha QPR kucheza pungufu muda wote uliobakia. Kumbuka QPR wako nafasi ya 19 juu ya timu ya Reading wenye alama 23 na QPR wakiwa na alama 24 na wakiwa wamebakiza mechi 6 tu msimu huu kuisha.
Mchezaji wa Wigan Jordi Gomez akipata pata hapa kutoka kwa Bobby Zamora ambapo timu hizi zimetoshana nguvu ya bao 1-1 Wigan wakirudisha dakika za mwishoni dakika ya 87.
Chini: Mchezaji Jordi Gomez akianguka chini mara baada ya kutupiwa teke na Zamora
Mchezaji Bobby Zamora akilalamika red kadi aliyopewa na refa Phil Dowd
...Nje...refa Phil Dowd akimtoa Zamora nje ya uwanja.
Aaaaah kweli unanitoa...itabidi urudie kuangalia mchezo wako uliocheza leo kwenye tv ili uone ni kwa nini nimekutoa...
Bosi wa QPR Harry Redknappakiangalia mtanange kuwa mgumu na huku wakiwa kwenye nafasi mbaya
Kumbuka: Carlton Cole alimchezea rafu Leighton Baines
Darron Gibson na Mark Noble
Nani hivi karibuni akicheza klabu bingwa na Real Madrid alitolewa nje...unakumbuka..
Msimamo wa timu za chini
Teke la Zamora limefananishwa na la Bruce Lee..
Msimamo wa timu za chini
No comments:
Post a Comment