BUKOBA SPORTS

Sunday, April 7, 2013

KIRAFIKI: BUKOBA VETERAN 2 vs STREET BOYS 0

Kikosi cha Bukoba Veteran kilichoanza kucheza na Street Boys Kikosi cha Street Boys kilichoanza
Mtanange ukiendelea
Kikosi kilichoumana na Bukoba Veteran ni muunganiko wa Vijana wa Mjini Bukoba.





Mchezaji wa Bukoba Verteran Al Amin akijiandaa kutoka na hapa akionekana kuchoka

Mchezaji wa Bukoba Verteran Al Amin
Mchezaji wa Bukoba Verteran Al Amin na hapa akiwa nje hoi... unene shida

Mchezaji wa Bukoba Verteran Al Amin akicheki wenzake wakiumana

No comments:

Post a Comment