LIGI KUU ZANZIBAR: GRAND MALT - MALINDI 0 v POLISI 0, HAKUNA MBABE TIMU ZOTE ZATOKA KAPA UWANJA WA MAO!!!
Kikosi cha Timu ya Malindi kilichoaza Ligi Kuu ya Grand Malt, wakati wa mchezo wao na Timu ya Polisi Uwanja wa Mao timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana. Waamuzi waliochezesha mchezo kati ya Polisi na Malindi. kutoka kulia Dalila Juma,Mohammed Kassin, Mwanahija Makame na Iddi Khamis. Kikosi cha timu ya Polisi kilichopambana na timu ya Malindi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt, leo Mapumziko timu zikipata neno kutoka kwa kocha Mtu na mtu Hakuna kupita!! Mashabiki
Kocha wa timu ya Polisi kushoto Ali Suleiman Mtuli na Kocha wa Timu ya Malindi Eddy Shubery, wakipongezana baada ya mchezo huo kumalizika kwa sare ya bila ya kufungana.
No comments:
Post a Comment