
Mkali wa muziki wa asili ya Kihaya, Saida Karoli,atafanya matamasha makubwa mawili la kwanza ni usiku wa saida karoli, litafanyika tarehe,7.9.2013 leo jumamosi kuanzia saa 2 usiku kiigilio V.I.P ni Tsh.15000/=
tu na kawaida ni Tsh.10,000/= tu kwenye ukumbi wa LINA'S CLUB BUKOBA
MJINI na Tarehe 8.9.2013 Jumapili ni katika uwanja wa Kaitaba Kiingilio
ni Tsh.2500/=
tu. Saida Karoli atasindikizwa na Jopo la wasanii lukuki waliowahi
kurekodia nyimbo zao ndani ya Tivol Studio wakiwemo wasanii wa nchi
Jirani na wa hapa nyumbani Bukoba.

No comments:
Post a Comment