
Ninyi!!!! Mtajiju!! Podolski akiwapa alama ya kuwajuza kuwa wao ni balaa moto wa kuotea mbali!

Podolski akipongezwa kwa kufunga bao la Ushindi!!
Dakika za lala salama dakika ya 89 Gibbs ndie aliyeisawazishia bao Arsenal na kufanya 1-1 hapo hapo kwenye dakika za nyongeza Lukas Podolski alifunga bao la Ushindi na kufanya 2-1 dhidi ya RSC Anderlecht.
Gunners walikaribia kuteketea huko Brussels, Ubelgiji walipocheza na Anderlecht na kumpa zawadi njema Meneja wao Arsene Wenger aliekuwa akisheherekea Miaka yake 65 ya kuzaliwa.
Podolski akiwawasha bao la ushindi kwenye dakika za nyongeza

Podolski akiungana na wenzake kushangilia bao lake la Ushindi

Mzee Wenger chupuchupu sikukuu yake ya kuzaliwe izame!!!

What!!!

Lakini mambo yalikwenda sawa!

Flamini akiwekwa chini na Mchezaji wa Anderlecht
Dakika ya 71 kipindi cha pili Arsenal walifungwa bao na mchezaji Andy Najar baada ya kupata krosi kama kona kutoka kwa Dennis Praet na kujitwisha kichwa na kumfunga kipa wa Arsenal.
Gibbs ndie aliyeanza kujibu mapigo kwa kufunga bao la kusawazisha kuwa 1-1

Hatari tupu!! Dakika ya 89 bao...

Andy Najar akishangilia bao lake la kwanza na la pekee.

Andy Najar akishangilia vikali baada ya kuibatia ba la kichwa timu yake.

1-0

Alexis Sanchez akisikitika baaa ya kukosa bao kwa kupiga frii kiki na kuitoa nje!

Alexis sanchez akiwakusanya!!!!
KUNDI LILIVYO KWA SASA BAADA YA MECHI.
| | P | W | D | L | GF | GA | GD | Pts |
| Borussia Dortmund | 3 | 3 | 0 | 0 | 9 | 0 | +9 | 9 |
| Arsenal | 3 | 2 | 0 | 1 | 6 | 4 | +2 | 6 |
| Anderlecht | 3 | 0 | 1 | 2 | 2 | 6 | -4 | 1 |
| Galatasaray | 3 | 0 | 1 | 2 | 2 | 9 | -7 | 1 |

Emiliano Martinez wa Arsenal akipasha leo hii kabla ya Mchezo wao wa Klabu bingwa Ulaya (Champions League) Ugenini.

Alex Oxlade-Chamberlain akipasha nae kwenye Uwanja wa Vanden Stock

Aaron Ramsey akipasha tayari kwa kipute dhidi ya Anderlecht


No comments:
Post a Comment