BUKOBA SPORTS

Wednesday, October 22, 2014

DIAMOND AKAMATWA NA KUACHIWA KWA DHAMANA!

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'. Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha Kituo cha Polisi cha Oysterbay, ahojiwa kwa saa kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ kituoni hapo. Kwa mujibu wa chanzo chetu, JWTZ wamezichukua sare zote za wasanii hao kwa ajili ya uchunguzi zaidi kabla ya kuamua kuchukua hatua zaidi za kisheria dhidi yao. Diamond aliongozana kituoni hapo na promota wa wasanii, Chief Kiumbe.

No comments:

Post a Comment