Drogba hoi leo!!Kipindi cha kwanza kimemalizika, hakuna mbabe kati ya NK Maribor 0-0 Chelsea. Kipindi cha pili dakika ya 50 Maribor waliwafunga kpitia kwa Ibraimi na dakika ya 73 Chelsea walisawazisha bao kupitia kwa Nemanja Matic na Eden Hazard alikosa mkwaju wa penati mwishoni.Jose akiwa hana raha huko Slovenia
No comments:
Post a Comment