Lionel Messi ndie kaifungia bao la kwanza kipindi cha kwanza dakika ya 36 na kwenda mapumziko Barca ikiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Ajax. Bao hilo lnamfanya atimize bao 70 sasa. Lionel Messi pia ndie kaifungia tena Barcelona bao la pili kipindi cha pili dakika ya 76 na kufanya 2-0 dhidi ya Ajax.Suarez ndani
No comments:
Post a Comment