
Mh. Juma Sued Hamis Kagasheki( Waziri wa Maliasili na Utalii) Mgeni rasmi

Ndugu Octavian Mutalemwa (katikati) kulia ni Bw. Ernest Nyambo na kushoto Kisongo

Kushoto ni Bw. Ernest Nyambo katikati ni Mh. Sued Hamis Kagasheki( Waziri wa Maliasili na Utalii) na kulia ni Bw.Muganyizi mkuu wa kampuni ya Zachwa Investment.

Bwana Novatus (kushoto) na (katikati) ni Mrs. Esther Nkwama kulia ni Mr. Cuthbert Basibila

Afisa Utamaduni (Kulia) na kushoto ni Bw.Muganyizi mkuu wa kampuni ya Zachwa Investment.

Nikita kushoto na Rose Ndauka (kulia)

Kelvin na Nikita

Mh. Juma Sued Hamis Kagasheki akiendelea kuongea jambo katika fainali usiku huu.

Mr.Cuthbert Basibila kutoka Dar es salaam ambaye pia amemwakilisha Pedeshee Benny Mulokozi na kushoto ni Mrs Estha Nkwama.

NIKITA

Bukoba noma..... Mhhh!!! we acha tu...

JB akiendelea kuangalia umati wa watu waliofurika usiku huu na kushangaa kuona nini kitakachofata..

Chief Judge Bi Regina akiwakaribisha wageni

Ma judge

Wadau wakiendelea kucheki fainali usiku huu.

Judge mr. Jamali Kalumuna (jamco)

kundi la KAKAU BAND likiendelea kutumbuiza

Dadaz wakitokelezea

Kundi la kakau Bandi likiwapagawisha watazamaji usiku huu.

Wasanii wa Bongo Movie wakiangalia KAKAU band ikifanya mavituuz jukwaani

JB akiteta jambo na Rose Ndauka

JB Akiwashukuru wananchi wa Kagera kufika kwake kwa mara ya kwanza mkoani hapa

Mzee wa Kiroyera tours bw. Willy na kushoto ni Mc wa bukoba wadau blog

Bw. Kapira

JB akizungumza na Waziri usikuu huu

Mh. Sued Kagasheki akiwapa mkono wasanii wa bongo movies

Kundi la Ndembe ndembe Kanga moko live wakifanya mavituuuz ilikuwa patashika

Mhhhh..

mambo ya kanga moko...

....Mnataka tenaaaa!!

hapa ni kazi tuuu...

Chief Jaji Bi. Regina akizungumza

kundi la majaji likizunguza kwa ajili ya kuwaleta wasanii 18 walioibuka washindi.

Namuona jaji Jamco kushoto akizungumza na Kundi la Bongo Movie

Majaji wakipozi na msanii Tesso Boy
No comments:
Post a Comment