KOCHA ERIK TEN HAG ASEMA USHINDI HUU WA LEO DHIDI YA FULHAM ANAUNGWA MKONO
Kocha wa Man United Erik ten Hag amesisitiza kuwa anaungwa mkono na timu yake baada ya ushindi wa 1-0 wa Mashetani Wekundu dhidi ya Fulham
na kutoa wito wa 'njaa, shauku na hamu' kutoka kwa wachezaji wake.
Teg
Hag anasema michezo mitatu ijayo ya Ligi kuu ndiyo itawaonesha wako nafasi ipi katika msimamo wa ligi na inabidi washinde michezo hiyo.
No comments:
Post a Comment