Michuano ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil Bado siku chache kuanza kutimua vumbi huku wenyeji wa michuano hiyo, Brazil ikitarajiwa kuikaribisha Croatia kwenye mechi ya kufungua dimba iliyopangwa kufanyika 12 Juni 2014. Kundi A linawakutanisha Brazil, Croatia, Mexico na Cameroon 'Simba Wasiofugika'. Kundi B lina timu za Uhispania mabingwa watetezi, Uholanzi, Chile na Australia. Kundi C lina timu za Colombia, Ugiriki, Ivory Coast 'Tembo' na Japan. Inaelekea kuwa Kodivaa ' Tembo' ina nafasi nzuri ya kuingia hatua ya mtoano ya 16 bora.
Washindi wa zamani wa Kombe la Dunia, Uingereza, Italia, Uruguay pamoja na Coasta Rica wako kundi D. Kundi E kuna timu za Uswisi, Ecuador, Ufaransa na Honduras. Ufaransa baada ya kuingia kwa mbinde kwenye fainali hizo, inatabiriwa na wadau wa soka kuingia hatua ya mtoano ka urahisi. Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo inacheza fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya nne, imepangiwa na nchi za Argentina, Bosnia Herzegovina na Nigeria "Tai wa Kijani' katika kundi F. Kundi G, kuna timu za Ujerumani, Ureno, Marekani na wawakilishi wengine wa Afrika Ghana 'Black Stars'. Na kundi H lina timu za Ubelgiji, Russia, Korea ya Kusini na wawakilishi wengine wa Afrika, Algeria 'Mbweha wa Jangwani'.FRANCE-Franck Ribery - France
COLOMBIA - Radamel FalcaoITALY-Riccardo Montolivo
MEXICO -Luis Montes
CROATIA -Niko Kranjcar
NETHERLANDS
-Rafael van der Vaart
-Gregory van der Wiel
-Kevin Strootman
SPAIN -Victor Valdes
Thiago Alcantara
ENGLAND -Theo Walcott
GERMANY
-Marco Reus
-Holger Badstuber
-Ilkay Gundogan
PORTUGAL - Bruma
USA
-Stuart Holden
COSTA RICA
-Alvaro Saborio
RATIBA NZIMA
Washindi wa zamani wa Kombe la Dunia, Uingereza, Italia, Uruguay pamoja na Coasta Rica wako kundi D. Kundi E kuna timu za Uswisi, Ecuador, Ufaransa na Honduras. Ufaransa baada ya kuingia kwa mbinde kwenye fainali hizo, inatabiriwa na wadau wa soka kuingia hatua ya mtoano ka urahisi. Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo inacheza fainali za Kombe la Dunia kwa mara ya nne, imepangiwa na nchi za Argentina, Bosnia Herzegovina na Nigeria "Tai wa Kijani' katika kundi F. Kundi G, kuna timu za Ujerumani, Ureno, Marekani na wawakilishi wengine wa Afrika Ghana 'Black Stars'. Na kundi H lina timu za Ubelgiji, Russia, Korea ya Kusini na wawakilishi wengine wa Afrika, Algeria 'Mbweha wa Jangwani'.FRANCE-Franck Ribery - France
COLOMBIA - Radamel FalcaoITALY-Riccardo Montolivo
MEXICO -Luis Montes
CROATIA -Niko Kranjcar
NETHERLANDS
-Rafael van der Vaart
-Gregory van der Wiel
-Kevin Strootman
SPAIN -Victor Valdes
Thiago Alcantara
ENGLAND -Theo Walcott
GERMANY
-Marco Reus
-Holger Badstuber
-Ilkay Gundogan
PORTUGAL - Bruma
USA
-Stuart Holden
COSTA RICA
-Alvaro Saborio
RATIBA NZIMA
ALHAMISI, JUNI 12, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
23:00
|
Brazil v Croatia
|
A
|
Arena Corinthians
|
IJUMAA, JUNI 13, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
19:00
|
Mexico v Cameroon
|
A
|
Estadio das Dunas
|
22:00
|
Spain v Netherlands
|
B
|
Arena Fonte Nova
|
01:00
|
Chile v Australia
|
B
|
Arena Pantanal
|
JUMAMOSI, JUNI 14, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
19:00
|
Colombia v Greece
|
C
|
Estadio Mineirão
|
22:00
|
Uruguay v Costa Rica
|
D
|
Estadio Castelão
|
01:00
|
England v Italy
|
D
|
Arena Amazonia
|
04:00
|
Ivory Coast v Japan
|
C
|
Arena Pernambuco
|
JUMAPILI, JUNI 15, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
19:00
|
Switzerland v Ecuador
|
E
|
Nacional
|
2200
|
France v Honduras
|
E
|
Estadio Beira-Rio
|
0100
|
Argentina v Bosnia-Herzegovina
|
F
|
Estadio do Maracanã
|
JUMATATU, JUNI 16, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Germany v Portugal
|
G
|
Arena Fonte Nova
|
2200
|
Iran v Nigeria
|
F
|
Arena da Baixada
|
0100
|
Ghana v United States
|
G
|
Estadio das Dunas
|
JUMANNE, JUNI 17, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Belgium v Algeria
|
H
|
Estadio Mineirão
|
2200
|
Brazil v Mexico
|
A
|
Estadio Castelão
|
0100
|
Russia v South Korea
|
H
|
Arena Pantanal
|
JUMATANO, JUNI 18, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Australia v Netherlands
|
B
|
Estadio Beira-Rio
|
2200
|
Spain v Chile
|
B
|
Estadio do Maracanã
|
0100
|
Cameroon v Croatia
|
A
|
Arena Amazonia
|
ALHAMISI, JUNI 19, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Colombia v Ivory Coast
|
C
|
Nacional
|
2200
|
Uruguay v England
|
D
|
Arena Corinthians
|
0100
|
Japan v Greece
|
C
|
Estadio das Dunas
|
IJUMAA, JUNI 20, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Italy v Costa Rica
|
D
|
Arena Pernambuco
|
2200
|
Switzerland v France
|
E
|
Arena Fonte Nova
|
0100
|
Honduras v Ecuador
|
E
|
Arena da Baixada
|
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Argentina v Iran
|
F
|
Estadio Mineirão
|
2200
|
Germany v Ghana
|
G
|
Estadio Castelão
|
0100
|
Nigeria v Bosnia-Herzegovina
|
F
|
Arena Pantanal
|
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Belgium v Russia
|
H
|
Estadio do Maracanã
|
2200
|
South Korea v Algeria
|
H
|
Estadio Beira-Rio
|
0100
|
United States v Portugal
|
G
|
Arena Amazonia
|
JUMATATU, JUNI 23, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Australia v Spain
|
B
|
Arena da Baixada
|
1900
|
Netherlands v Chile
|
B
|
Arena Corinthians
|
2300
|
Croatia v Mexico
|
A
|
Arena Pernambuco
|
2300
|
Cameroon v Brazil
|
A
|
Nacional
|
JUMANNE, JUNI 24, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Italy v Uruguay
|
D
|
Estadio das Dunas
|
1900
|
Costa Rica v England
|
D
|
Estadio Mineirão
|
2300
|
Japan v Colombia
|
C
|
Arena Pantanal
|
2300
|
Greece v Ivory Coast
|
C
|
Estadio Castelão
|
JUMATANO, JUNI 25, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Nigeria v Argentina
|
F
|
Estadio Beira-Rio
|
1900
|
Bosnia-Herzegovina v Iran
|
F
|
Arena Fonte Nova
|
2300
|
Honduras v Switzerland
|
E
|
Arena Amazonia
|
2300
|
Ecuador v France
|
E
|
Estadio do Maracanã
|
ALHAMISI, JUNI 26, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
United States v Germany
|
G
|
Arena Pernambuco
|
1900
|
Portugal v Ghana
|
G
|
Nacional
|
2300
|
South Korea v Belgium
|
H
|
Arena Corinthians
|
2300
|
Algeria v Russia
|
H
|
Arena da Baixada
|
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
1A v 2B [Mechi Na. 49]
|
RAUNDI YA PILI
|
Estadio Mineirão
|
2300
|
1C v 2D [50]
|
RAUNDI YA PILI
|
Estadio do Maracanã
|
JUMAPILI, JUNI 29, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
1B v 2A [51]
|
RAUNDI YA PILI
|
Estadio Castelão
|
2300
|
1D v 2C [52]
|
RAUNDI YA PILI
|
Arena Pernambuco
|
JUMATATU, JUNI 30, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
1E v 2F [53]
|
RAUNDI YA PILI
|
Nacional
|
2300
|
1G v 2H [54]
|
RAUNDI YA PILI
|
Estadio Beira-Rio
|
JUMANNE, JULAI 1, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
1F v 2E [55]
|
RAUNDI YA PILI
|
Arena Corinthians
|
2300
|
1H v 2G [56]
|
RAUNDI YA PILI
|
Arena Fonte Nova
|
IJUMAA, JULAI 4, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Mshindi 53 v Mshindi 54 [57]
|
ROBO FAINALI
|
Estadio do Maracanã
|
2300
|
Mshindi 49 v Mshindi 50 [58]
|
ROBO FAINALI
|
Estadio Castelão
|
JUMAMOSI, JULAI 5, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
1900
|
Mshindi 55 v Mshindi 56 [59]
|
ROBO FAINALI
|
Nacional
|
2300
|
Mshindi 51 v Mshindi 52 [60]
|
ROBO FAINALI
|
Arena Fonte Nova
|
JUMANNE, JULAI 8, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
2300
|
Mshindi 57 v Mshindi 58 [61]
|
NUSU FAINALI
|
Estadio Mineirão
|
JUMATANO, JULAI 9, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
2300
|
Mshindi 59 Mshindi 60 [62]
|
NUSU FAINALI
|
Arena Corinthians
|
JUMAMOSI, JULAI 12, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
2300
|
Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62
|
MSHINDI WA 3
|
Nacional
|
JUMAPILI, JULAI 13, 2014
| |||
SAA
|
MECHI
|
KUNDI
|
UWANJA
|
2200
|
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62
|
FAINALI
|
Estadio do Maracanã
|
No comments:
Post a Comment