BUKOBA SPORTS

Saturday, April 18, 2015

LA LIGA: REAL MADRID 3 vs 1 MALAGA, SERGIO RAMOS, RODRIQUEZ NA CRISTIANO RONALDO WAITAKATISHA REAL NA KUIPA MATUMAINI KUIFUKUZIA BARCA KILELENI. RONALDO AFUNGA BAO LA 50.


Sergio Ramos akishangilia bao lake dhidi ya  Malaga

Nahodha wa Real Madrid  Ramos akipongezana na  Cristiano Ronaldo

James Rodriguez aliifungia bao la pili Real kwa shuti kali

Ronaldo alifunga bao la tatu na kufanya  3-1
Sergio Ramos kaifungia bao dakika ya 24 kipindi cha kwanza kufanya 1-0 dhidi ya Malaga.
Kipindi cha pili dakika ya 69 James Rodríguez aliifungia bao la pili Real Madrid huku Cristiano Ronaldo akimaliza mchezo huo kwa kufunga bao dakika za majeruhi bao la tatu kwa 3-1 dhidi ya Malaga na kwenye Dakika ya lala salama dakika ya 90.
Ronaldo pia alikosa mkwaju wa penati kipindi cha pili katika mchezo huu wa leo dhidi ya Malaga. Bao la pekee la Malaga lilifungwa na Juanmi dakika ya 71.Umeumia!!
Gareth Bale went down injured after less than five minutes at the Bernabeu
Gareth Bale ndani ya dakika 5 aliumia Bernabeu na kulazimika kupumzishwa
The Welsh forward was forced to go off to be replaced in the early stages of proceedings
Mapema aliumia na kulazimika kwenda kupumzika
Ramos tucks the ball in to open the scoring for Real Madrid at the Bernabeu
Ramos akifanya yake Bernabeu
Ronaldo akishangilia bao lakela dakika za mwishoni

No comments:

Post a Comment