Rais Jakaya Kikwete akibea kombe la Dunia juu leo kwa mara ya tatu kwenye uongozi wake lilipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo mchana.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Kombe la Dunia Jukwaani kwenye uwanja wa CCM Kiumba jijini Mwanza leo
Umati wa watu waliokusanyika kwenye uwanja huo wa CCm Kirumba Jijini Mwanza kushuhudia kombe hilo la Dunia ambao kwa leo ni kwa mara ya tantu kutua hapa Nchini Tanzania mara yakwanza ni mwaka 2006, 2009 na leo hii 2013 likishuhudiwa kwa mara ya kwanza jijini Mwanza.Nyomi ya watu
Kikundi cha Mchelemchele cha jijini Mwanza kikitumbuiza kwa ngoma
Kikundi cha Mchele mchele
Kikundi cha ngoma cha Mchelemchele cha jijini Mwanza kikitumbuiza kwenye uwanja wa CCM Kirumba leo mchana kombe la Dunia lililpowasili uwanjani hapo.
Kikundi cha Bujorwa nacho kilikuwepo
Kikundi cha Bujorwa kikitumbuiza
Na hapa ulifika wakati wa kucheza na nyoka!
Rais Jakaya Kikwete alipowasili uwanjani CCM Kirumba na hapa alikuwa anasalimiana na viongozi mbalimbali.
Ngoma za utamaduni zikiendelea kutumbuizwa na kikundi cha Mchelemchele
Viongozi mbalimbali jukwaani wakifurahia baada ya Rais Kikwete kuingia ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba
Waziri wa Habari,Vijana, utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara na kulia ni Rais Jakaya Mrisho KikweteRais Jakaya Kikwete katikati na viongozi wengine wakielekea kwenye jukwaa
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Eng.Evarist W. Ndikilo nae alikuwepo.
Dr. Fenella Mukangara
Mwakilishi kutoka kwenye kampuni ya Coca cola
Rais Mpya wa shirikisho la soka nchini bw. Jamal Malinzi nae alikuwepo
Mwakilishi kutoka FIFA nae alipata muda akaongea na wakazi waliojitokeza kwa wingi uwanjani hapo CCm Kirumba kuhusu ujio huo wa Kombe la Dunia Nchini Tanzani ikiwa ni mara ya tatu hapa Nchini.
Waziri wa Habari,Vijana, utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara.
Viongozi kutoka Mwanza kwenye kiwanda cha Coca Cola
Rais Jakaya Kikwete akiteta na wakazi wa jijini Mwanza leo kuhusu ujio huo wa kombe la Dunia
Rais Jakaya Kikwete akibeba Kombe juu.
Mwakilishi wa Fifa kushoto akimpa Rais Jakaya Kikwete zawadi jukwaani
Rais Jakaya Kikwete akionesha zawadi aliyopewa hapa!!
Rais Jakaya Kikwete na zawadi yake!!
Picha za pamoja na Kombe la Dunia zilifata!
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Eng.Evarist W. Ndikilo akipiga picha na Kombe la Dunia
Viongozi mbalimbali nao walipata picha hapa na Kombe la Dunia

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akiliangalia kombe
Rais Jakaya Kikwete akilifunua kombe la Dunia!!!Rais Jakaya Kikwete akibeba Kombe juu.
Mwakilishi wa Fifa kushoto akimpa Rais Jakaya Kikwete zawadi jukwaani
Rais Jakaya Kikwete akionesha zawadi aliyopewa hapa!!
Rais Jakaya Kikwete na zawadi yake!!
Picha za pamoja na Kombe la Dunia zilifata!
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Eng.Evarist W. Ndikilo akipiga picha na Kombe la Dunia
Viongozi mbalimbali nao walipata picha hapa na Kombe la Dunia
No comments:
Post a Comment