BUKOBA SPORTS

Thursday, November 28, 2013

DR.JOSE CHAMELEONE AMWAGA WINO!!! KUFANYA CONCERT KUBWA JIJINI MWANZA KWENYE UWANJA WA CCM KIRUMBA TAREHE 24 DEC. 2013

Bw. Denis Mshema(kushoto) katikati ni mwanamuziki wa Uganda Dr. Jose Chameleone, kulia ni Bw. Deni Mwangi ambao ndio wahusika ma- promoter wa Show hiyo itakayofanyika jijini Mwanza tarehe 24 mwezi ujao katika uwanja wa CCM Kirumba.Mwanamuziki Jose Chameleone akisaini mkataba wa Concert hiyo Nchi Uganda ambayo italindima vilivyo jijini Mwanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba mwezi ujao.Mwanamuziki Jose Chameleone akimwaga wino kwenye karatasiConcert Kubwa ya Jose Chameleone #BADILISHALIVECONCERT nyingine ilifanyika hivi karibuni jijini Kampala Uganda na sasa anatarajia kushusha bonge la Concert hapa nchini Tanzania kwenye Uwanja wa CCM KIRUMBA, Hakika si ya kukosaaaa!!!

Hivi ndivyo Jose Chameleone alivyokuwa amevaa ... ni kama ametoka kwenye Mwezi na kutua jukwaani ... It was amazing !!! usikukose siku hiyo njoo na mwenzio!! Kiingilio cha Concert hiyo kutajwa hivi karibuni na muda wa concert hiyo, tutawajuza punde!

No comments:

Post a Comment