BUKOBA SPORTS

Friday, November 29, 2013

HAPPY BIRTHDAY YA RYAN GIGGS YAKUTIMIZA MIAKA 40 YAFANA, AKIWA NDIE PEKEE MWENYE REKODI UINGEREZA KWA MATAJI MENGI!


Keki ya Ryan Giggs baada ya kutimiza miaka 40 na bado akiwa msukuma kabumbu kwa hali ya juu.

Ryan Giggs ametimiza miaka 40 leo Ijumaa.

Giggs juzi aliichezea United dhidi ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani juzi usiku huko Ujerumani na United kuibuka na ushindi wa bao 5-0kwenye UEFA Champions Ligi.

Giggs, akiwa na Miaka 13 tu, aliongoza Timu yake Salford Boys kucheza na Kikosi cha Vijana wa chini ya Miaka 15 cha Man United na alipiga hetitriki huku Ferguson akiwa kwenye Dirisha la Ofisi yake akishuhudia.
Alipotimiza Miaka 14, Tarehe 29 Novemba 1987, Sir Alex Ferguson, alikwenda Nyumbani kwa kina Giggs na kumpa Ofa ya kusainiwa kwa Miaka miwili kama Mchezaji Chipukizi Mwandamizi toka Shuleni.

Giggs (kulia) na leo hii akiwa na miaka 40, Tarehe 2 Machi 1991, ndio aliingizwa toka Benchi kucheza Mechi yake ya kwanza ya Ligi ya Manchester United dhidi ya Everton na Jumamosi, Tarehe 2 Machi 2013, atatimiza Mechi yake ya 1000 kama atapewa Namba kucheza dhidi ya Norwich City kwenye Mechi ya Ligi Kuu England Uwanjani Old Trafford.
Aliemgundua Ryan Giggs ni Wakala wa Magazeti na ambae pia alikuwa Mlinzi wa Old Trafford, Harold Wood, aliemdokeza Alex Ferguson kuhusu Chipukizi huyo na Ferguson akatuma Mtu kwenda kuchunguza na hatimae Giggs akapewa Majaribio na Man United Krismas ya Mwaka 1986.
Battles: Giggs (left) and Carragher were familiar foes as their respective careers overlapped
Giggs (kushoto) na Carragher wakichuana enzi hizo...!
Baptism of fire: Jamie Carragher can only watch as Andy Cole fires the first of his two goals as Manchester United sealed a convincing win at Anfield
Jamie Carragher na Andy Colekipindi cha nyuma wakati Andy Cole alipotupia na kuipa ushindi United kwenye uwanja wa Liverpool Anfield.

Class act: Ryan Giggs (second right) watches David Beckham (right) hit Manchester United's second in the 3-1 win with a superb free kick
Ryan Giggs akimwangalia David Beckham wa Manchester United enzi hizo alipoipatia bao la tatu na kufanya 3-1 kwa frii kiki.
Career soundtrack: Giggs, pictured here scoring against Juventus in the Champions League in 2003, listens to some of Manchester's most famous bands before playing
Giggs, dhidi ya Juventus kwenye Champions League mwaka 2003
Cool, calm and collected: Giggs scores his spot-kick in rainy Moscow during United's Champions League final victory against Chelsea in May 2008
Giggs alifunga bao dhidi ya Chelsea huko Moscow wakati United walipokamatana na Chelsea kwenye Champions ligi mwezi wa tano mwaka 2008.
Still going strong: Ryan Giggs, here pictured in action during Manchester United's 5-0 win against Bayer Leverkusen on Wednesday, has revealed his musical tastes after celebrating his 40th birthday
5-0 Ryan Giggs aliweka rekodi alipocheza mechi hiyo huko Ujerumani hivi karibuni.
Special talent: Giggs, here scoring against Arsenal to send United into the 1999 FA Cup final, listens to the Happy Mondays among others before taking to the pitch
Fainali za Mwaka 1999 za kombe la FA Giggs alicheza.

Magical moment: Giggs (second from right) lifts the 2008 Champions League trophy with defender Rio Ferdinand
Mwaka 2008 ulikuwa wa kuvuna zawadi kwa United Rio Ferdinand na Giggs wakiwa wamebeba Mwali!!!
Kocha wake David Moyes bado anaamini Ryan Giggs bado ni supa staaRyan Giggs akiendesha akielekea kwenye mazoezi.

No comments:

Post a Comment