
Martial akishangilia bao lake la kusawazisha dakika za mwishoni kwa kufanya 1-1

Martial alisawazisha bao hilo dakika ya mwishoni na mtanange kumalizika kwa 1-1

Furaha ya bao...Poyet akipongezwa



Payet dakika ya 68 aliipatia bao la kuongoza West Ham kwa mpira wa adhabu wa friikiki ambao ulipindio ndani ya nyavu la lango la Man United.




Carroll chini akiwa na usongo wa kupata bao



Patashikia Fellaini na Carroll wakichuana kuutafuta mpira wa kichwa


VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI: De Gea, Varela, Smalling, Blind, Rojo, Carrick, Fellaini, Herrera, Lingard, Martial, Rashford
Man Utd akiba: Romero, Darmian, Williams, Schneiderlin, Schweinsteiger, Januzaj, Memphis
West Ham United wanaoanza XI: Randolph, Antonio, Reid, Ogbonna, Cresswell, Kouyate, Noble, Lanzini, Payet, Emenike, Carroll
West Ham akiba: Adrian, O'Brien, Song, Obiang, Moses, Valencia, Sakho

Ro-Shaun Williams

Bastian Schweinsteiger
No comments:
Post a Comment