Mshindi wa Redd's Miss Muleba Illuminatha Dominick akitabasamu mara baada ya kutangazwa usiku.
Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo akifuatilia show
Majaji wakitafuta mbinu za kumpata mshindi kila mmoja na kalamu yake...
Bw.Varelian kushoto akiwa pamoja na wadau
Majaji ilikuwa kazi ngumu kupata tano bora...maana nao waliburudishwa kisawasawa!!!
Kwisha....!!!
Pongezi zikitiririka pasipo lazima ni kama kawaida kwenye Redd's..
Uhondo ukiendelea kuwakamata wakina Dadaz
Wazazi walijitokeza kwa wingi kuja kuona wanao wakichuana
Wadau wakiwapa sapoti japo ya makofi huku wakiburudishwa vilivyo kwenye ukumbi wa Waisuka Muleba
Dayna Nyange akivutwa hapa kutoa burudani
Mwanamuziki Dyna Nyange akiburudisha mashabiki
Mama na Mwana..
Illuminatha Dominick akitabasamu kwenye kamera ya Bukobasports.com
Picha ya Pamoja
wadau kutoka Bukoba mjini
No comments:
Post a Comment