BUKOBA SPORTS

Sunday, June 8, 2014

KUELEKEA BRAZIL 2014: ENGLAND YATOKA SARE TENA, SPAIN, ARGENTINA, BELGIUM ZASHINDA! CESC FABREGAS AKOSA PENATI!

MABINGWA wa Dunia Spain wameichapa El Salvador Bao 2-0 licha ya Cesc Fabregas kukosa Penati wakati Argentina wakiipiga Slovenia 2-0 na Lionel Messi kuona nyavu na pia Belgium kushinda Bao 1-0 dhidi ya Tunisia lakini England kutoka Sare 0-0 na Honduras kwenye Mechi iliyosimama kwa Dakika 40 kufuatia Radi kali kupiga Uwanjani.International friendlies - Villa double guides Spain to victory over El Salvador
Kwenye Mechi ya Spain, Fabregas alikosa kufunga Penati ya Dakika ya 4 lakini Bao 2 za Kipindi cha Pili za David Villa ziliwapa ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya El Salavador.
Nao Argentina waliifunga Slovenia Bao 2-0 kwa Bao za Ricardo Alvarez na Lionel Messi.
Belgium waliitungua Tunisia Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 89 la Dries Mertens.
General view of the stadium as play is suspended due to an electric lightning stormTaswira mechi ya England Honduras kwenye Mechi iliyosimama kwa Dakika 40 kufuatia Radi kali kupiga Uwanjani.
Gary Naville na Kocha Mkuu Roy wakitupia lawama kwa vitendo uwanjaniJerry na Herndason wakichuanaWayne Rooney kama kawaida yake na kama alivyosema popote yeye poa tuu...England's Wayne Rooney, Jordan Henderson and Steven Gerrard speak to the referee
 Baadhi ya wachezaji wa England wakijiulizaEngland's team line upKikosi kilichoanza jana usiku cha England
MATOKEO MECHI ZOTE ZA JANA KUJIPIMA:KOMBE LA DUNIA
Jumamosi Juni 7

Croatia 1 vs  Australia 0
Colombia 3 vs  Jordan 0
Japan 4 vs Zambia 3
Costa Rica 1 Ireland 1
Cameroon 1 Moldova 0
Greece 2 Bolivia 1
Mexico 0 Portugal 1
Belgium 1 Tunisia 0
Argentina 2 Slovenia 0
El Salvador 0 Spain 2
England 0 Honduras 0

No comments:

Post a Comment