BUKOBA SPORTS

Thursday, April 2, 2015

FLAVIANA MATATA ATANGAZA VIPODOZI VYA KIKO


Kwa mara nyengine tena Mwanamitindo afanyae kazi zake za uanamitindo nchini Marekani Flaviana Matata amepata deal ya kutangaza vipodozi vya Kiko Milano vya nchini Italy.
Flaviana na wanamitindo wenzie wanatangaza kampeni hiyo iliyopewa jina la Modern Tribe.

No comments:

Post a Comment