BUKOBA SPORTS

Monday, April 6, 2015

JEREMY MATHIEU AITUNGUA CELTA VIGO NA KUIPA BARCELONA BAO LEO LA LIGA.

Bao la pekee la kichwa la Jeremy Mathieu dakika ya 74 limetosha kuwapa Barca Ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya Celta Vigo.
Ushindi huo umewapaisha tena Barcelona kileleni kwa kupata jumla ya pointi  71 huku Real Madrid wakiwa nyuma ya pointi 4 ambao wana pointi 67 na wakishikilia nafasi ya pili huku ya tatu ikiwa inashikiliwa na Timu ya Atletico Madrid wenye pinti 62 na ya nne ni Valencia wenye pointi 61.

No comments:

Post a Comment